Nauli siyo tatizo tena! Mialiko inafikishwa moja kwa moja mtandaoni — rahisi, bila stress, kwa WhatsApp na SMS.
Kila kadi inatengenezwa kulingana na rangi, mandhari, na ladha yako binafsi.
Teknolojia ya kisasa iliyoundwa mahususi kwa mahitaji ya mashereheko ya Kitanzania.
Mialiko inafika mtandaoni. Hakuna gharama ya posta wala usumbufu wa kuigawa mkono kwa mkono.
SMS zinafika hata bila internet — hakuna mgeni atakayekosa mwaliko wako.
Wageni wanascanwa ukumbini kwa sekunde moja. Haraka, salama, bila msongo wa mlangoni.
Jua ni nani amekubali, amekataa, au hajajibu — moja kwa moja kutoka kwa simu yako.
Tunatengeneza kadi yako ya mwaliko kulingana na rangi na mandhari yako.
Mialiko inatumwa moja kwa moja kwa wageni wote — haraka, bila nauli.
Fuatilia majibu ya wageni kwa wakati halisi — ndio, hapana, au hajajibu.
Scan kadi ukumbini, kisha pata report kamili baada ya tukio.
Tunafanya kadi za kuchapishwa kwa ombi maalum. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.
Kila kadi inatengenezwa kulingana na rangi, mandhari, na ladha yako binafsi.
Chagua Standard →NB: Kila kadi inatengenezwa kulingana na rangi, mandhari, na ladha yako binafsi. Tunafanya kadi za kuchapishwa kwa ombi maalum.
Chagua Premium →Piga simu au tuma ujumbe WhatsApp sasa hivi. Tutakusaidia kupanga mwaliko wa tukio lako la karibu — haraka na bila stress.